Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Hussein Omary, amewasihi wahitimu wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) kuwa mstari wa mbele katika kusimamia masuala mtambuko ...